Kichin cha Rawngtu

Kichin ya Rawngtu (pia Kiwelaung) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar inayozungumzwa na Warawngtu. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kichin ya Rawngtu imehesabiwa kuwa watu 5,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kichin ya Rawngtu iko katika kundi la Kisal.


Developed by StudentB